August 14, 2014


AFANDE SELE AKIWA NA MAREHEMU MAMA TUNDA (KULIA) PAMOJA NA WANAYE TUNDA NA ASANTE SANA.
Msanii maarufu wa hip hop nchini, Selemani Msindi maarufu kama Afande Sele amepata msiba wa kufiwa na mkewe.

Asha Mohammed Shiengo aliyekuwa maarufu sana kwa jina la  'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro.
Mama Tunda ambaye alikuwa akijulikana kwa wasanii wengi kama “Shemeji” amefariki dunia baada ya kuugua hatari wa ugonjwa wa Malaria.
Malaria ndiyo ugonjwa unaoongoza kuua Waafrika wengi zaidi.
Afande na marehemu Mama Tunda walijaaliwa kupata watoto wawili ambao ni Tunda na Asante Sana.
MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE KWA AMANI
AMINA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic