August 14, 2014

 Mo Farah na James Dasaolu wameanza vizuri baada ya kuipa Uingereza medali katika michuano ya Ulaya inayoendelea nchini Uswiss.

‘We’re all feeding off each other,’ said Dasaolu. ‘Everyone’s feeling positive.’
Farah alishinda mita na Dasaolu alishinda mita 100.
Farah alishinda huku akifuatiwa na patna wake kitimu, Andy Vernon, hivyo kuifanya Uingereza kubeba medali tatu kupitia wanaridha hao.

USAIN BOLT AKIMPONGEZA MSHIKAJI WAKE MO FARAH

DASAOLU



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic