Kiungo Jack Wilshere
ametupia picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram akimkaribisha
mshambuliaji wao mpya, Danny Wilbeck.
Wilshere
amemkabirisha Welbeck ndani ya Arsenal akiahidi kumpa ushirikiano.
Welbeck na Wilshere
sasa wako kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England.
0 COMMENTS:
Post a Comment