Taifa Stars imeanza mazoezi leo kujiandaa na
mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi.
Mechi hiyo ya kirafiki iliyo kwenye kalenda ya
Fifa itachezwa wiki ijayo mjini Bujumbura.
Stars chini ya Mart Nooij, awali ilikuwa ikipige
na Morocco, lakini sasa watakipiga na Burundi.
Stars itakuwa inajifua kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam, tayari kwa mechi hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment