Kiungo Coutinho na mshambuliaji Jaja walikuwa kwenye Uwanja wa
Taifa kuishuhudia Simba ikipambana na Coastal Union.
Katika mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya mabao 2-2, Jaja na
Coutinho walikuwa jukwaani wakishuhudia.
Baada ya mechi mbili zijazo, Yanga itakuwa na kibarua kigumu
dhidi ya Simba, mechi ambayo huwa haina mwenyewe.
Huenda Coutinho na Jaja waliona ni wakati mzuri wa kuipeleleza
Simba kama vile CIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment