September 2, 2014

WASHAMBULIAJI WATATU KUTOKA KATIKA TIMU HIZI NNE, MAN UNITED, MAN CITY, LIVERPOOL, CHELSEA NA ARSENAL WANA DENI KUBWA LA KUHAKIKISHA TIMU ZAO ZINACHUKUA KOMBE AU MAKOMBE DHIDI YA USHINDANI MKALI WA LIGI KUU ENGLAND, KOMBE LA FA NA KOMBE LA LIGI.
LAKINI PIA WANATAKIWA KUZIONGOZA TIMU ZAO ZINAPATA NAFASI YA KUCHEZA KWENYE MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA AMBAYO INA NAFASI NNE TU KWENYE LIGI KUU ENGLAND. JE, KATIKA KUNDI HILI, WATATU GANI WATAKAOFANIKISHA HILO? NI SUALA LA KUSUBIRI.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic