HAYA NDIYO MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA JANA KABLA YA LEO KUCHEZA MECHI YAO YA MWISHO NCHINI AFRIKA KUSINI AMBAKO WATAIVAA JOMO COSMOS. BAADA YA HAPO ITAFANYA MAZOEZI TENA KABLA YA KUANZA SAFARI YA KUREJEA DAR KUIVAA YANGA OKTOBA 18 JIJINI DAR ES SALAAM.
TAYARI SIMBA IMECHEZA MECHI MBILI IKIANZA NA SARE YA BILA MABAO DHIDI YA ORLANDO PIRATES, KABLA YA KULALA KWA MABAO 4-2 DHIDI YA BIDVEST WITS.
0 COMMENTS:
Post a Comment