ANGALIA MSHABIKI WALIVYOMPA BARAKA MENEJA SIMBA KUPITIA NJIWA Meneja wa Simba, Nico Nyagawa akimgusa njiwa aliyepewa na mashabiki ili kupata baraka. Nyagawa alifanya hivyo wakati akiingia uwanjani jana kwa ajili ya mechi dhidi ya watani wao Yanga. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila mabao.
0 COMMENTS:
Post a Comment