October 4, 2014


Mkurugugenzi wa Hoteli ya Sapphire Court ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Abdulfatah Saleh ametoa mkono wa sikukuu tukufu ya Iddi kwa waislamu, ndugu jamaa na marafiki wote.


Abdulfatah kwa niaba ya uongozi mzima wa Sapphire Court pamoja na wafanyakazi wote, wanawaombea watu wote, bila ya kuwasahau wadau wa michezo nchini kuianza na kuimaliza sikukuu hiyo tukufu kwa amani tele pamoja na familia zao.

Hoteli ya Sapphire Court ni familia ya wanamichezo, pia wanawatakia kheri ya sikukuu ya Idd wachezaji wa timu zote zitakazocheza mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara wikiendi hii, yaani leo Jumamosi na kesho Jumapili.

Kutoka Sapphire Court...

EID MUBARAK 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic