Hadi dakika ya 61, Arsenal ilikuwa inaongoza kwa mabao 3-1 dhidi ya Anderlecht ya Ubelgiji katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Lakini dakika ya 90, licha
ya kuwa nyumbani, matokeo yalikuwa yanasomeka hivi 3-3.
Hali hiyo ilitokana na
uzembe mkubwa wa safu ya ulinzi na kiungo cha ukabaji wa Arsenal.
Mabao ya Arsenal yalifungwa
na Mikel Arteta, Alexis Sanchez na Oxlade Chamberlain.
Lakini Wabelgiji hao
waliokuwa hawapewi nafasi wakaanza kusawazisha moja baada ya jingine huku
Mitrovic akifunga la tatu katika dakika ya 90.
0 COMMENTS:
Post a Comment