Ingawa amekuwa akicheza
soka, lakini siku za hivi karibuni Romeo amejikita kwenye uanamitindo, kazi
anayoifanya zaidi mama yake.
Ingawa mama yake alianza
kutamba kwenye muziki zaidi akiwa na kundi la Spice Girls, baadaye aliamua
kuzamia zaidi kwenye mitindo na mara kadhaa amekuwa akimshawishi muewe pia
kuingia.
Kama atanaogewa zaidi,
huenda Romeo akakita nguvu zaidi kwenye mitindo badala ya soka.
0 COMMENTS:
Post a Comment