KOCHA ZDRAVKO DEJAKIC AMEWAPA MZIGO MZITO MAKIPA WA SIMBA AKITAKA WAWE FITI ZAIDI. KATIKA MAZOEZI YALIYOFANYIKA KWENYE UFUKWE WA COCO, KIPA PETER MANYIKA, IVO MAPUNDA NA KIPA WA TIMU YA VIJANA WALIHENYESHWA KWA KUTEMBELEA MIKONO, KURUKA JUU, KUKIMBIA KWA KASI KABLA YA KUANZA KUUCHEZEA MIRA KIDOOGO TU! TAYARI LANGO LA SIMBA LIMERUHUSU MABAO SITA KATIKA MECHI SITA WALIZOCHEZA SIMBA KWENYE LIGI KUU TANZANIA BARA.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment