MCHEZO WA KOMPYUTA NI HATARI, ETI HAWA NI BALOTELLI NA MANCINI UNAKUMBUKA WAKATI KOCHA ROBERTO MANCINI AKIWA NA MARIO BALOTELLI KATIKA KIKOSI CHA MAN CITY. KILA SIKU VURUGU LAKINI WALIKUWA WASHKAJI PIA. SASA WATU WAMETUMIA KOMPYUTA KWA KUZIGEUZA PICHA ZA WAWILI HAO KWA KUZICHANGANYA. WATU BAA!
0 COMMENTS:
Post a Comment