KIPA KINDA WA SIMBA, PETER MANYIKA ANAONYESHA NI MCHESHI LAKINI KAMA UKIKUTANA NA KABALI YAKE, UTALIA! ALIMKABA KIPA MWENZAKE KINDA ILA ILIKUWA NI UTANI HUKU AKIMUAMBIA AJIKWAMUA MARA TU BAADA YA KUWA WAMEMALIZA MAZOEZI. KIPA HUYO KINDA ALIYEKUWA AMEKABWA ALIJITAHIDI KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE KABALI HIYO YA MANYIKA, LAKINI WAPI HADI ALIPOSEMA IMESHINDIKANA, AKAACHIWA. MUDA WOTE KIPA MKONGWE, IVO MAPUNDA ALIKUWA AKITABASAMU WAKATI VIJANA WAKE WAKICHEZA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment