MSHAMBULIAJI NYOTA WA JUVENTUS, CARLO TEVEZ AMEUNGANA TENA NA KIKOSI CHA ARGENTINA NA KUJUMUIKA NA AKINA LIONEL MESSI, ANGEL DI MARIA, KUN AGUERO NA NYOTA WENGINE KWA AJILI YA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA CROATIA, KESHO. KIKOSI HICHO PIA KILICHEZA MECHI YA KUPASHA MWILI DHIDI YA VIJANA CHINI YA MIAKA 21 WA WEST HAM YA ENGLAND. MASHABIKI HAWAKURUHUSIWA KUINGIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment