IVORY COAST NAYO IMEFUZU KOMBE LA MATAIFA AFRIKA BAADA YA KUTOKA SARE YA BILA KUFUNGANA DHIDI YA MAJIRANI ZAO CAMEROON. KATIKA MECHI HIYO ILIYOCHEZWA JIJINI ABIDJAN, IVORY COAST ILIONGOZWA NA NAODHA WAO YAYA TOURE, SALOMON KALOU PAMOJA NA GERVINHO NA KUHAKIKISHA INAVUKA KUINGIA KATIKA FAINALI HIZO ZITAKAZOPIGWA JANUARI, MWAKANI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment