December 1, 2014


Sergio Busquets amekuwa shujaa kwa kuifungia Barcelona bao pekee dhidi ya Valendia katika mechi iliyojaa vituko na ubabe.


Mshambuliaji Neymar ameingia kwenye lawama baada ya kumtwanga kichwa beki wa Valencia.

Lakini mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi naye akapigwa chupa.


Mechi hiyo ilitawaliwa na ubabe, lakini Barcelona wakiwa ugenini wakashinda bao 1-0 na sasa tofauti yao na vinara wa La Liga, Real Madrid ni pointi mbili tu.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic