December 17, 2014


Beki wa zamani wa Mtibwa Sugar, Hamisi Kessy, atakuwa akilamba mshahara wa Sh milioni 1.2 kwa mwezi katika klabu yake mpya ya Simba.


Simba ililazimika kumwaga Sh milioni 30 kumpata beki huyo wa kulia.

Lakini taarifa zinaeleza, pamoja na kutoa fedha hizo, Simba imemtoa beki wake Miraji Adam aende Mtibwa Sugar.

Kessy anatarajia kuanza mazoezi na Simba kesho ikiwa ni siku tatu baada ya kusaini.

Taarifa nyingine zimeeleza yuko mjini Morogoro ambako amekwenda kukabidhi mali za Mtibwa Sugar na kuwaga wenzake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic