December 14, 2014


 Amir Khan wa Uingereza amepiga jumpa ya ngumi 563 kumuwezesha kumshinda Alexander Devon.
Khan alionyesha uwezo mkubwa licha ya kuwa ugenini Las Vegas, Nevada nchini Marekani ambako anatokea Devon.

Devon kutoka Ferguson, Marekani alishindwa kuonyesha cheche na kufanikiwa kushinda raundi moja tu kati ya 12.
Jumla ya pointi mwisho zilikuwa ni 120 upande wa Khan kwa 109 alizopata Mmarekani huyo.

TAKWIMU YA MAKONDE
Khan                                             Alexander
563      Alitupa  ngumi                 461
243      Ngumi zilizofika                   91
   43      % ya ngumi zilizofika         20






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic