SSERUNKUMA ATUA DAR, AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUSAINI SIMBA Mshambuliaji nyota wa Uganda, Danny Sserunkuma amefanyiwa vipimo vya afya kabla ya kusajili. Sserunkuma ameishatua Dar es Salaam kwa ajili ya vipimo hivyo ana akifuzu, usajili unafuatia.
0 COMMENTS:
Post a Comment