Algeria imeanza vizuri michuano ya Kombe la
Mataifa Afrika kwa kuichapa Afrika Kusini kwa mabao 3-1.
Katika mechi hiyo ngumu katika mji wa
Mongomo, Equatorial Guinea. Algeria ilitoka nyuma ikiwa nyuma kwa bao moja na
kuibuka na ushindi huo wa mabao 3-1.
Kundi C ndiyo gumu zaidi na awali, Ghana
ililala kwa mabao 2-1 dhidi ya Senegal.
Mechi hiyo hadi mapumziko ilikuwa sare ya
bila bao, kabla ya mabao yote manne kufungwa katika kipindi cha pili.
0 COMMENTS:
Post a Comment