Kocha Mkuu wa Real Madrid, Carlo Ancelotti
amesema Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji mahiri zaidi kati ya wale aliowahi
kufanya nao kazi.
Ancelotti aliyewahi kung’ara kama mchezaji
akiwa Juventus amesema Ronaldo ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa katika nyanja nyingi
zaidi.
Amesema uwezo wake kwa kusaidiana na wengine
katika kikosi chake kutaisaidia Madrid kwenda mbali zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment