February 23, 2015




Rais wa Shirikisho la  Soka Tanzania (TFF), amepeleka salamu za rambirambi kwa familia ya Alex Massawe, kufuatia kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Star) na klabu ya Simba SC, Christopher Alex kilichotokea jana mjini Dodoma.


Christopher Alex Massawe aliwahi kuichezea timu ya Taifa, Taifa Stars mwanzoni mwa miaka ya 2000 na kwa mafanikiko makubwa huku pia akiwa tegemeo katika klabu yake ya Simba SC.


Katika salam zake kwa familia ya Massawe, kwa niaba ya TFF, familia ya mpira wa miguu na Watanzania Rais Malinzi amewapa pole wapenzi wa mpira wa miguu nchini  katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic