MSHAMBULIAJI WA REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO AMETUPIA PICHA MTANDAONI AKIELEZA NAMNA ALIVYOPOTEZA KWA MABAO 2-1 DHIDI YA MWANAYE CRISTIANO RONALDO JUNIOR. WAWILI HAO WALICHEZA MECHI HIYO KATIKA UWANJA WAO WA NYUMBANI, HATA HIVYO RONALDO HAKUELEZA MECHI HIYO ILICHEZWA KWA DAKIKA NGAPI NA MABAO YALIFUNGWA DAKIKA YA ZIPI? |
0 COMMENTS:
Post a Comment