Picha hii imekuwa moja ya bora za wiki baada ya mchezaji wa Brooklyn Nets, Mason Plumlee inayoshiriki Ligi ya Kipau Marekani (NBA), kumgonga mhudumu wa uwanjani wakati akihudumia vinywaji.
Plumlee mwenye urefu wa
futi 6 na inchi 9 alimgonga Deila Barr, na kusababisha vinywaji vyake kumwagika.
Siku hiyo Nets walikuwa na
siku mbaya baada ya kuambulia kichapo kibaya kutoka kwa Washington Wizards.
0 COMMENTS:
Post a Comment