LISTI HII HAPA; AJABU RUNINGA YA CHELSEA ILIJICHANGANYA BAADA YA KUMPANGA BEKI CESAR AZPILICUETA KATIKA NAMBA MBILI KATIKA KIKOSI KIMOJA. BEKI HUYO ALIUPANGWA NAMBA MBILI AMBAYO SI YAKE PAMOJA NA NAMBA TATU WAKATI UCHAMBUZI WA KIKOSI CHA CHELSEA KITAKACHOIVAA EVERTON KILIPOKUWA KINACHAMBULIWA. KWELI KUKOSEA KUPO...
0 COMMENTS:
Post a Comment