Licha
ya sare ya bao 1-1, lakini inaonyesha mechi ya Man United dhidi ya West Ham
haikuwa mchezo na uthibitisho wake namna kiungo Alex Song alivyolazimika kupoza
magoti yake yote mawili kwa barafu.
Song raia wa Cameroon ameonekana akiwa ameweka barafu katika magoti yake yote huku akiendelea kuzungumza na simu.
Inaonekana
hiyo inatokana na mshikeshike wa mechi hiyo ya Ligi Kuu England ambayo
alipambana vilivyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment