February 9, 2015

 NOKIA LUMIA KUTIMIZA NDOTO ZA WANAOZITUMIA
Kampuni ya Microsoft kwa kushirikiana na Nokia kupitia simu yake ya Nokia Lumia imezindua shindano litakalowafaidisha watumia wa simu hizo kutimiza ndoto zao.

Watakaotimiza ndoto hizo ni pamoja na wanamichezo mbalimbali watakaozitumia na kinachotakiwa kufanya kununua simu aina ya Lumia na kutuma neno DREAM kwenda 20096.
Baada ya kutuma katika namba hiyo, mhusima atatakiwa kueleza ndoto yake hasa ni kitu gani na baada ya hapo anakuwa ameingia katika shindani.
Lumia 535 ndiyo inayohusika na shindano hilo lakini Lumia zenye aina ya  530, 535, 630,730, 830 na 930 zitashiriki pia.
Watakaoshiriki ni wale watakaonunua simu zao kuanzia Februari Mosi hadi machi 31.
 
KWA KIMOMBO HII HAPA SHUKA NAYO:

1.      We are kicking off a wonderful campaign that will help us push more Lumia sales. This time we are making people’s dreams come true.

2.      The concept of the campaign is- to empower consumers to share their life long desire to us, and if selected we will bring their dream to life*.
Entry into the competition is easy: Buy a Lumia, send ‘DREAM’ to 20096, tell us your dream and if selected, we will make your dream come true. The hero device for the campaign is the Lumia 535; however all other Lumia’s are also participating into the competition. i.e. 530, 535, 630,730, 830 and 930 only.

3.       *The device must have been bought between 1st  Feb and 30th March. Terms and conditions apply

4.       Ask the customers to send the word  ‘DREAM’ and their IMEI number to 20096 and they will stand a chance to WIN a grand prize of a trip to watch a concert of their choice in South Africa.

Imetolewa na
TABASAMU PR CONNSULTANCY.














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic