March 19, 2015


Baada ya kazi ya Lionel Messi jana wakati alipowapiga matobo wachezaji wa Man City. Sasa ungependa kujua tobo katika nchi mbalimbali duniani linajulikana kwa majina yapi.


Hizi hapa baadhi:

 
Hispanic Americacano, tunel, ordenar, cocina
Ujerumanitunnel, Beinschuss
Ufaransapetit pont
Finland - langet
Ukraine25 kopiyok - meaning 25 cents player owes
Afrika KusiniiShibobo 
Uholanzipoorten, panna
Nigeria - O-C - meaning 'oh see'
Misri kobry
Malaysia&Singaporeole
Kenya'chobo, chobwe
 JapanMatanuki
Iranlauyee
Brazil caneta, saia, rolinho
Polandzalozyc
Hungarykoteny
Malawikalulu 
Italiatunnel
Indonesia - kolong
Ethiopialochie
Denmark, Sweden & Norwaytunnel
Zambiapomo
Portugal cueca, rata
Zimbabwe deya
Tanzania-tobo

Tunisiaadma  

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic