Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amerudia! Amefunga bao moja
na Simba imeshinda 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kama unakumbuka ilishinda 1-0 dhidi ya Yanga yeye akiwa amefunga
bao hilo moja tena kwa staili yake.
Leo akarudia kufunga kwa staili yake tena katika dakika ya 90
akiachia mkwaju wa maana uliomshinda kipa wa Mtibwa Sugar Said Mohamed.
hi Kaka Salah Please uwe unaweka captions za wachezaji kaka wengine tunaishi huku karagwe wachezaji hatuwafahamu sura zao.
ReplyDelete