BOYD NDIYE SHUJAA WA BURNLEY KUTOKANA NA BAO LAKE PEKEE KUZAA
USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA MANCHESTER CITY.
USHINDI HUO MUHIMU KWA BURNLEY UMEPATIKANA WAKIWA NYUMBANI
WAKIPAMBANA KUEPUKA KUTEREMKA DARAJA.
MAN CITY WAMEZIDI KUJIWEKA PABAYA NA KUIPA NAFASI CHELSEA IZIDI
KUJICHIMBIA KILELENI.
0 COMMENTS:
Post a Comment