Aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Sylvester Marsh anaagwa leo jijini Dar es Salaam.
Marsh aliyefariki jana asubuhi katika Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili, anaagwa katika hospitali hiyo kabla ya kusafirishwa
kwenda jijini Mwanza.
Shughuli ya kuaga mwili wake inaanza saa
sita mchana na safari ya kwenda Mwanza itaanza saa tisa alasiri.
0 COMMENTS:
Post a Comment