MBUYU... |
Kocha Hans
van der Pluijm ameanza langoni na kipa Ally Mustapha Barthez katika mechi dhidi
ya FC Platinum ya Zimbabwe.
Katika mechi
hiyo ya Kombe la Shirikisho itakayoanza kupigwa punde kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Pluijm, amemuweka Mbuyu Twite kuziba pengo la Nadir
Haroub ‘Cannavaro’ ambaye ni majeruhi.
Twite ndiye anakuwa mchezaji mkongwe zaidi katika kikosi cha Yanga kinachoanza katika mechi ya leo.
Kikosi hiki
hapa;
1.
Ally Mustapha ‘Barthez’
2.
Juma Abdul
3.
Oscar Joshua
4.
Mbuyu Twite
5.
Kelvin Yondani
6.
Said Juma ‘Makapu’
7.
Simon Msuva
8.
Salum Telela
9.
Amissi Tambwe
10.
Mrisho Ngassa
11.
Haruna Niyonzima
Canon iP2770 Driver what a nice article you have here
ReplyDelete