April 14, 2015

Mmliki wa Chelsea, Roman Abramovich ameendelea kuonyesha jeuri ya utajiri wake baada ya kutoa pauni milioni 17.1 na kununua hoteli moja nchini Israel ili aigeuze kuwa makazi yake.


Abramovich raia wa Urusi ameamua kufanya hivyo kwa kuinunua Varsano Hotel yenye mita za mraba 1,500 ili ibadilishwe na kuwa makazi yake pale atakapowasili katika mji wa Tel Aviv.

Hoteli hiyo itakuwa inatumika kama makazi kila atakapokuwa anakwenda Israel.





AKIWA NA MPENZI WAKE...

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic