April 2, 2015



Mesut Ozil ametupia picha mtandaoni akiwa na mbwa wake, muda mchache baada ya kuwasili London, England.


Ozil alikuwa akikitumikia kikosi cha timu yake ya taifa ya Ujerumani ambacho kilishinda mabao 2-0 dhidi ya Georgia huku yeye akiwa kati ya wachezaji walioonyesha kiwango cha juu.

Baada ya kurejea England, alitumia muda mwingi kucheza na mbwa wake huyo na baadaye kutupia picha kadhaa mtandaoni.

Tayari Ozil ameishajiunga na kikosi cha Arsenal tayari kwa ajili ya majukumu ya Ligi Kuu England, wikiendi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic