Serena Williams amesherekea ushindi wake wa 700
katika mchezo wa tenisi.
Mkali huyo wa tenisi duniani upande wa wanawake,
amesherekea ushindi huo wa 700 kwa kula keki na baadhi ya wadau.
Serena alimshinda Sabine Lisicki wa Ujerumani
kwa seti 7-6, 1-6, 6-3 na kutinga fainali ya Miami Open.
0 COMMENTS:
Post a Comment