April 2, 2015


Mchezo wa mbio za farasi una raha zake lakini kuna wakati unafikia unaweza ukakuogopesha.

Mfano mzuri ni mkasa uliomtokea Lewis Ferguson ambaye ni mkimbiza farasi kinda.

Wakati akiwa karibu kumaliza mbio, farasi huyo alimrusha bosi wake.

Mbio hizo zilifanyika huko Wincaton, Uingereza. Hata hivyo bahari njema zilieleza Ferguson hakuumiua, hivyo ukawa ni ushindi mtamu lakini wenye mafunzo.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic