LIVERPOOL SASA POMBE YA NGOMANI, HULL CITY NAO WAICHAPA BAO 1-0, BALOTELLI ACHEMSHA Unaweza kusema Liverpool sasa ni pombe ya ngomani, watu wanajinywea wanavyotaka. Leo imepoteza tena mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kuchapwa bao 1-0 na Hull City. Mshambuliaji wake Mario Balotelli raia wa Italia, ameshindwa kutamba na kuishuhudia Liverpool ikiuwawa kwa bao hilo moja tu!
0 COMMENTS:
Post a Comment