NEYMAR, SUAREZ NA MESSI NDIVYO FOWADI HATARI ZAIDI, ANGALIA CHATI... Washambuliaji watatu wa Barcelona, Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez ndiyo wakali zaidi katika ushambuliaji. Sina haja ya kukueleza sana, angalia chati mwenyewe uone wanavyocheza na nyavu kama “wendawazimu”.
0 COMMENTS:
Post a Comment