RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI AKIWASILI MSIKITINI KABLA YA KWENDA KWENYE MAZISHI. |
Rais Mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi aliongoza mazishi
hayo yalifanyika jijini Dar.
Siku mbili zilizopita, Sheikh Alhady alifariki dunia
katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa
figo.
Alifariki siku 10 tu baada ya kushinda uongozi wa
Villa Squad ambayo iko katika mikakati ya kurejea Ligi Kuu Bara.
PICHA KWA JUHUDI ZA BOSI WA MAWASILIANO WA VILLA SQUAD, IDD GODIGODI.
0 COMMENTS:
Post a Comment