May 20, 2015

Pamoja na kuwepo kwa taarifa za kuondoka kwake kwenda Real Madrid, kipa David De Gea ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Manchester United.


De Gea ameshinda tuzo hiyo kutokana na umahiri aliouonyesha msimu huu ambao timu yake imebakiza mechi moja.

Man United sasa angalau ina uhakika wa kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya na kipa huyo alikuwa mwokozi katika mechi nyingi




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic