Bondia Mwingereza, Amir Khan amefanikiwa kumshinda
mpinzani wake Chris Algieri.
Ushindi wa pointi kutoka kwa majaji wote watatu,
umempa jeuri Khan sasa kutaka kuzichapa na mkali Floyd Mayweather.
Khan amesema yuko tayari kuzichapa na Mayweather
ambaye hajapoteza hata pambano moja katika yote 48 aliyocheza.
Hata hivyo, Khan pamoja na ushindi huo, hakuonyesha
kiwango cha kutisha sana ambacho kingeweza kuwashawishi wengi kwamba anaweza
kupata nafasi ya kuzitwanga na Mayweather, bondia asiyepigika hadi sasa.
RAUNDI ZILIVYOKUWA
|
||
KHAN
|
RAUNDI
|
ALGIERI
|
10
|
1
|
9
|
9
|
2
|
10
|
10
|
3
|
9
|
9
|
4
|
10
|
9
|
5
|
10
|
10
|
6
|
9
|
10
|
7
|
9
|
10
|
8
|
9
|
10
|
9
|
9
|
10
|
10
|
9
|
10
|
11
|
9
|
10
|
12
|
9
|
117
|
JUMLA
|
111
|
0 COMMENTS:
Post a Comment