HUYU hapa anatajwa kuwa mrithi wa Sven Vandenbroeck ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho Januari 7 na kwa sasa yupo zake kwenye Klabu ya F.A.R Rabat ya Morocco ambapo amesaini dili la miaka miwili:-
Ile nyumba aliyojengewa Chama na Yanga imeyeyuka?Au ilikuwa nyumba ya theluji? Ohh anahofia usalama wake!!Eti ahakikishiwe usalama wake.Ukanjanja mtupu.
Ukanjanja, ukanjanja!! Ujinga mtupu. Journalism ni lazima iheshimiwe na watu waende vyuoni kusomea. Fani hii ina heshima yake, na sio ya kuirukia eti sababu umekosa kitu kingine cha kufanya maishani mwako.!
Uso wake unaonesha kuwa huyu ni kocha tena sie wa kijomba pia anaonesha sie wa majisifu na mwenye pasonaliti ya kuvutia. Simba inajuwa kutenga baina ya nazi na machicha wala haijawahi kuleta kocha wa mwezi mmoja. Kila la heri
Siku moja nilisema gazeti flani la michezo limeandika simba yamtimua okwi kusoma ndani eti ukachelewa mazoezini kaambiwa azunguke uwanja hahahahaha nilicheka pke yangu nikasema haya ndio furaha yetu kudanganywa
Braza we umeona paka mweusi tu,, bado tuna mpango wa kuleta paka wa zambarau! Muhimu magoli halali, na CAF cyo wapumbavu wakajipa kazi ya kuhesabu paka na cyo magoli,, n utopolo tu mnajipa kazi. Km inauma nendeni FIFA mkashtaki hbr za nyau! Na badooo
Si huyu huyu mliandamana kumuomba radhi kwaajili ya mwenzenu aliandika habari yake hamkuipenda mkarekodi clip ya kutaka kumpa kichapo Leo mko upande wake....Atawakera soon
Mjomba achana na hbr za imevuja,, ishu za simba cyo nyepesi hvyo km za yanga! Utaumia! Subr wakat ukifka utapost kitu cha kweli
ReplyDeleteBora umwambie ukweli kaka ss ni simba mabingwa wa nchi sio hao yanga
ReplyDeleteIle nyumba aliyojengewa Chama na Yanga imeyeyuka?Au ilikuwa nyumba ya theluji?
ReplyDeleteOhh anahofia usalama wake!!Eti ahakikishiwe usalama wake.Ukanjanja mtupu.
Ukanjanja, ukanjanja!! Ujinga mtupu. Journalism ni lazima iheshimiwe na watu waende vyuoni kusomea. Fani hii ina heshima yake, na sio ya kuirukia eti sababu umekosa kitu kingine cha kufanya maishani mwako.!
DeleteDah huyu kocha CV yake si ya kitoto na pesa ya kumlipa ni maji marefu.
ReplyDeleteUso wake unaonesha kuwa huyu ni kocha tena sie wa kijomba pia anaonesha sie wa majisifu na mwenye pasonaliti ya kuvutia. Simba inajuwa kutenga baina ya nazi na machicha wala haijawahi kuleta kocha wa mwezi mmoja. Kila la heri
ReplyDeleteJamani bila uwongo Hawa jamaa wale wapi
ReplyDeleteSiku moja nilisema gazeti flani la michezo limeandika simba yamtimua okwi kusoma ndani eti ukachelewa mazoezini kaambiwa azunguke uwanja hahahahaha nilicheka pke yangu nikasema haya ndio furaha yetu kudanganywa
ReplyDeleteInaelekea mnaipenda hii blog. Mikia..aka..paka mweusi mna midomo.
ReplyDeleteBraza we umeona paka mweusi tu,, bado tuna mpango wa kuleta paka wa zambarau! Muhimu magoli halali, na CAF cyo wapumbavu wakajipa kazi ya kuhesabu paka na cyo magoli,, n utopolo tu mnajipa kazi. Km inauma nendeni FIFA mkashtaki hbr za nyau! Na badooo
ReplyDeleteSven kakimbia kwa kulazimishwa aogee maji ya mauzauza..hehe Paka mweusi asaidia Mikia kulalama
DeleteHivi kuna watu wanaowalazimisha msome alichokiandika kwenye blog yake? Mmejiweka kiherehere kujifanya mnajua mambo kumbe weupeeeee! Mikia fc
ReplyDeleteDuh!
DeleteSisi hatupendi kuongopewa kama utopolo
DeleteSi huyu huyu mliandamana kumuomba radhi kwaajili ya mwenzenu aliandika habari yake hamkuipenda mkarekodi clip ya kutaka kumpa kichapo Leo mko upande wake....Atawakera soon
Delete