BENTEKE, FIRMINO RASMI WAANZA KAZI LIVERPOOL, WAKUTANA NA MTUKUTU BALOTELLI WASHAMBULIAJI WAPYA WA LIVERPOOL, ROBERTO FIRMINO NA CHRISTIAN BENTEKE WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA TIMU YAO MPYA KWA MARA YA KWANZA. WAWILI HAO PAMOJA NA WACHEZAJI WENGINE WA LIVERPOOL, WAMEKUTANA NA MSHAMBULIAJI MTUKUTU, MARIO BALOTELLI.
0 COMMENTS:
Post a Comment