Imegundulika kuwa mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hapendi kabisa kuzidiwa urefu hasa anapopiga picha za kikosi.
Kutokana
na hali hiyo, Ronaldo amekuwa akifanya hivi; ananyenyemea na kusimamia vidole
ilimradi tu awe mrefu au alingana na wachezaji kama Sergio Ramos, Pepe na Tony
Kroos ambao hukaa msitari wa kusimama.
Mbaya
zaidi, Ronaldo amekuwa akimtumia Karim Benzema kama ngazi yake linapofikia
suala la kufanya hivyo!
ANGALIA PICHA HIZI ZA SIKU TOFAUTI KABISA....!!
0 COMMENTS:
Post a Comment