Real Madrid imeitwanga Man City kwa mabao 4-1 katika mechi yao ya fainali ya Kombe la International.
Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa kriketi wa Melbourne nchini Australia, leo huku Cristiano Ronaldo, Karim Benzema, kila mmoja akitupia moja moja.
Licha ya kuwa na kinda mpya, Raheem Sterling aliyetokea Liverpool, City ilishindwa kuonyesha cheche zaidi ya bao lake moja lililofungwa na Yaya Toure kwa mkwaju wa penalti.
Manchester City: Hart, Sagna, Denayer, Humphreys, Kolarov, Toure, Fernando, Delph, Nasri, Silva, Sterling

Subs: Caballero, Wright, Horsfield, Clichy, Evans,
Zuculini, Garcia, Lopes, Navas, Pozo, Unal, Roberts, Iheanacho, Barker,
Jovetic, Dzeko
Goal: Toure (pen) 45+4.
Real Madrid: Navas, Carvajal, Pepe, Ramos,
Marcelo, Kroos, Modric, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema
Subs: Arbeloa, Llorente, Nacho, Casemiro, Lucas Silva,
Jese, Danilo, Cheryshev, Lucas Vazquez, Varane
Goals: Benzema 21, Ronaldo 25, Pepe 44, Cheryshev
73
0 COMMENTS:
Post a Comment