Cristiano
Ronaldo ametoa kali ya karne baada ya kuondoka katikati ya kipindi cha runinga
wakati akihojiwa.
Ronaldo
aliamua kuondoka wakati akihojiw ana N TV baada ya kuulizwa swali kwamba vipi
beki Sergio Ramos atabaki Madrid au atajiunga na Manchester United.
Pamoja
na kujibu, “hakika sijui lolote”. Lakini ghafla Ronaldo aliibuka na kutoa
headphones shingoni mwake na kumshukuru mtangazaji kabla ya kuondoka.
Mreno
huyo amekuwa akisisitiza juhudi zifanyike Ramos kubaki Madrid, lakini
haijajulikana swali hilo linalomhusu rafiki yake lilimuudhi kiasi gani.
0 COMMENTS:
Post a Comment