Mshambuliaji Lukas Podolski amejiunga na Galatasaray ya Uturuki kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Arsenal.
Podolski raia wa Ujerumani mwenye asili ya Poland ametua kwa vigogo hao wa Uturuki baada ya Arsenal kutupia kibindoni pauni milioni 1.8.
Kabla Arsenal ilimpeleka kwa mkopo katika kikosi cha Inter Milan nchini Italia.
0 COMMENTS:
Post a Comment