MANCHESTER UNITED AMBAO WAKO NCHINI MAREKANI, WAMEFANYA ZIARA NYUMBANI KWA MMOJA WA WAMILIKI WA KLABU HIYO, AVIE GLAZIER NA FAMILIA YAKE. PIA WALIPATA NAFASI YA KUKUTANA NA MASHABIKI WAO MBALIMBALI NA BAADAYE WAKAENDELEA NA MAZOEZI. ALEX FERGUSON AMBAYE NI KOCHA WAO WA ZAMANI NAYE ALIKUWA KATI YA SEHEMU YA KIKOSI HICHO, USISAHAU BADO NI MKURUGENZI.
0 COMMENTS:
Post a Comment