July 25, 2015


Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite, imeng’olewa.
Imeondolewa kwenye kuwania kucheza michuano ya Kombe la Dunia baada ya kutoka sare ya bila kufungana ikiwa ugenini nchini Zambia.
Sare hiyo haijaweza kuikomboa Tanzanite ambayo ilichapwa kwa mabao 4-0 ikiwa nyumbani Dar es Salaam.

Vijana hao wa Tanzanite wanatarajia kurejea nyumbani keshokutwa Jumatatu wakitokea Zambia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic